Blueberry Concentrate
Viungo:
100% freshly processed concentrate free of any preservatives and additives
Kazi na Faida zake:
- Kuboresha utendaji kazi wa retina;
- Kusaidia mtiririko wa chakula tumboni;
- Kusaidia kujilinda kwa ngozi;
- Kuboresha kinga za mwili.
Yafaa kwa:
- Watu wa rika zote na hasa:
- Watu wenye uonaji dhaifu
- Watu wenye shida ya kutokwa damu sehemu za ndani zenye matundu
- Watu wenye magonjwa yatokanayo na free radicals, kama Alzheimer's, Parkinson's, kisukari, rheumatoid arthritis, na kuzorota kwa neva.
Maelezo Muhimu:
Mmea wa blueberry una uwingi wa anthocyanins, ambazo huzuia kuzeeka kwa haraka kwa retina na kuboresha mzunguko wa damu, na kwa hiyo, kulinda macho na kuboresha uonaji. Uwingi wa virutubishi vya blueberry huweza kuboresha mtiririko wa mabaki katika utumbo na hivyo kusaidia kuondoa mabaki ndani ya utumbo. Husafisha utumbo kwa kuondoa kinyesi sugu. Anthocyanins zitokanazo na blueberry hujulikana kama vipodozi vya ngozi vya kunywewa vinavyong'arisha ngozi, kuongeza uwezo wa ngozi wa kujikinga na kuzuia kutokea kwa mikunyanzi ya ngozi mapema. Kama antioxidants zenye nguvu, anthocyanins za blueberry husaidia kuondoa seli zilizozeeka kwa hivyo kuonyesha tabia ya kupambana na saratani. Kwa kutumia teknolojia ya juu ya kuleta uzito kwenye mazingira ya joto la chini blueberry asilia iliyotoka kuvunwa hutengenezwa kuwa blueberry concentrate, bila kutumia rangi za kutengenezwa, viongeza utamu, wala dawa za kuzuia isioze, anthocyanins zikibaki bila kuguswa. Blueberry concentrete hufungwa bila kuruhusu hewa kupenya ili kulinda ladha na ubora wake. Ni rahisi kuibeba na kuitumia.
<<<<< MWANZO